Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Nilichanganya mafaili, mko sahihi.2002 alicheza akapata majeruhi mechi ya argentina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichanganya mafaili, mko sahihi.2002 alicheza akapata majeruhi mechi ya argentina
Ronaldo De Lima
Labda Ronaldo wa huko kwenu Turiani.Jamaa alikuwa anatumia nguvu nyingi badala ya akili hayo ndo madhara yake.
Majeruhi ni adui mkubwa saana kwa wanamichezo.Marco Van Basten alikuwa analijua sana goli. So sad alistafu mapema tu kwa majeraha.
Issue kama hiyo inanikumbusha Straika flani hivi wa West Ham alistafu akiwa na miaka 26 si mwingine ni Dean Ashton.
Unamjua de lima ama!!? Isijekuwa unamzungumzia de lima mlima viazi huko, kapewa a.k.a tu!! Hapa anazungumziwa Ronaldo Luís Nazário de LimaJamaa alikuwa anatumia nguvu nyingi badala ya akili hayo ndo madhara yake.
Beki kitasa wa Man Utd, Eric Bailly ameumia tena, safari hii amepata majeraha akiwa na klabu yake katika maandalizi ya msimu mpya (Pre Season).
Baada ya uchunguzi, imethibitika kuwa atakaa nje kwa miezi minne mpk mitano. Licha ya kuwa ni beki mahiri sana, ila amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara (injury prone).
Leo, tuwataje wanandinga maarufu ambao huwa wanakumbwa na majeraha ya mara kwa mara kiasi cha kutishia ubora wa vipaji vyao.
Mimi naanza na Abou Diaby...
Majeruhi sumu saana yamefanya tusifaidi saana vipaji maridhawa vya hawa mafundi wachache
Santi cazorla
Marco reus
Abou diaby
Jack wilshere
Marc van basten..
Rudia tena ulichoongea sijasikia vizuri [emoji3]Manchester United ile team ukiitolea brand yake ya (umanchester ) inapigwa hata na lipuli Paul nonga ni Bora kuliko Lukaku.
unataka nipigwe majungu kama taarabu?Rudia tena ulichoongea sijasikia vizuri [emoji3]
Lazima kuna watu humu unawatafuta siyo bure!Jamaa alikuwa anatumia nguvu nyingi badala ya akili hayo ndo madhara yake.
Unamjua de lima ama!!? Isijekuwa unamzungumzia de lima mlima viazi huko, kapewa a.k.a tu!! Hapa anazungumziwa Ronaldo Luís Nazário de Lima
Namjuwa pengine zaidi yako, nikimuangalia de lima, gaucho, cr7 n.k and then nikawacompare na Messi sawa na umbali wa mbingu na ardhi. Messi mdogo kimwili lakini anaufanya mpira uonekane rahisi, anakusanya kijiji adi gorini kwa ufupi jamaa anaufanya mpira atakavyo rakini haumii kiningajinga cjui kupata majeraha kama hao wengine. Mpira ni akili tu bwana na co kutumia maguvu.
Hapo kwenye gaucho hapo...!
Unayemtetea kashakubali bado wewe sasaatakuwa anamuongelea Michael Owen