Wanasoka Wanaoongoza kuwa Majeruhi

Abou daah muda mwingi kautumia kujiuguza huyu
 
Ni kweli reus hujamfaidi
Majeruhi sumu saana yamefanya tusifaidi saana vipaji maridhawa vya hawa mafundi wachache
Santi cazorla
Marco reus
Abou diaby
Jack wilshere
Marc van basten..
 
Eduardo da Silver yule jamaa alikuwa fundi sana pale Arsenal ila ile faul aliyochezewa ilihitimisha safari yake ya mpira.
Ilikuwa game na crystal palace kama sikosei.
 
Unamjua de lima ama!!? Isijekuwa unamzungumzia de lima mlima viazi huko, kapewa a.k.a tu!! Hapa anazungumziwa Ronaldo Luís Nazário de Lima

Namjuwa pengine zaidi yako, nikimuangalia de lima, gaucho, cr7 n.k and then nikawacompare na Messi sawa na umbali wa mbingu na ardhi. Messi mdogo kimwili lakini anaufanya mpira uonekane rahisi, anakusanya kijiji adi gorini kwa ufupi jamaa anaufanya mpira atakavyo rakini haumii kiningajinga cjui kupata majeraha kama hao wengine. Mpira ni akili tu bwana na co kutumia maguvu.
 
Hapo kwenye gaucho hapo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…