Wanasoka wenye uwezo wa kawaida ila walibebwa na mafanikio ya timu zao

Yule kipa wa timu ya taifa ya ufaransa bure kabisa
 
Anderson napinga mkuu,

sidhani kama gerrard anamfikia anderson ktk control na kudriball pale kati, yaaan nazungumzia kunyambuka na mpira,, gerrard wakawaida tu kwa Anderson,,

na wasiwasi na wewe mkuu ivi kweli hata mpira wa sodo umecheza??
 
Write your reply...Lionel Messi na Christian Ronaldo ukibisha hujui mpira
 
Write your reply...Lionel Messi na Christian Ronaldo ukibisha hujui mpira
 
Olivier Giroud amebeba Worldcup huku wachezaji wengi mahiri duniani wakishindwa kufanya hivyo Eg.Messi,Ronaldo,Ibrahimovic,Lewandowsk,Suarez ukiangalia mastraika hao wamemuacha mbali sana Giroud hivyo bila shaka yoyote alibebwa na ubora wa kikosi cha ufaransa kutwaa kombe la dunia
 
MESSI MWENYEWE PAMOJA NA UKALI WAKE ALIBEBWA NA XAVI NA INESTA.
 
MESSI MWENYEWE PAMOJA NA UKALI WAKE ALIBEBWA NA XAVI NA INESTA.
Waswahili hatukosagi maneno...Hata baada ya yeye kuondoka kwenda Qatar Messi alizidi kushine. Messi ni kipaji bwana wala sio mtu wa mazoezi kama wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…