Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nipoNipo best......
Habari za kutukimbia.....!!?
Mbona nipo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] hamnaUpo lakini huonekaniki......!!
Au siku hizi unapokea amri kutoka mamlaka za juu....!!?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] hamna
Messi ni wa kama kawaida sana kama Kakichuya tuuuu,sema timu inamneba.
Kanyanyua world cup juzi tuYule kipa wa timu ya taifa ya ufaransa bure kabisa
Anderson napinga mkuu,Karibuni wana ukumbi,
Kuna wachezaji walikuwa/wana uwezo wa kawaida lakini wamepata mafanikio makubwa sana kutokana na mafanikio ya timu aliyochezea/anayochezea.
Mfano:
Anderson enzi akiwa Man Utd ana medali 3 za EPL wakati uwezo wake ulikuwa ni wakawaida sana kulinganisha na mtu kama Steven Gerrard ambaye hana medali yoyote ya EPL.
Kiungo Christoph Kramer wa Borrusia Monchegladbach ana medali ya Kombe la Dunia aliyoshinda na Ujerumani mwaka 2014 licha ya uwezo wake wa kawaida.
Victor Valdes ameshinda kila aina ya taji katika soka akiwa na Barcelona na Hispania lakini uwezo wake ni wa kawaida sana.
Karibu uendelee...
Kwahiyo na Ronaldo akifanya vibaya juventus tuseme alikua anabebwa na Real Madrid.Messi ni wa kama kawaida sana kama Kakichuya tuuuu,sema timu inamneba.
MESSI MWENYEWE PAMOJA NA UKALI WAKE ALIBEBWA NA XAVI NA INESTA.Barcelona wachezaji most of them waliopita na wasasa uwezo wao ni wa kawaida sana mfano tu Neimar,semedo,vidal,gomes, alcacer and Digne, hawa wote ni wakawaida sana__so Mafanikio yao wameyapata kutoka kwa LEONEL MESSI__ bila Messi wasingepata mafanikio yoyote__
MESSI ndiye engine ya Barca, bila yeye BARCA si chochote. So wamshukuru sana kiumbe huyu kuwahi kutokea
Messi ni wa kama kawaida sana kama Kakichuya tuuuu,sema timu inamneba.
Waswahili hatukosagi maneno...Hata baada ya yeye kuondoka kwenda Qatar Messi alizidi kushine. Messi ni kipaji bwana wala sio mtu wa mazoezi kama wengineMESSI MWENYEWE PAMOJA NA UKALI WAKE ALIBEBWA NA XAVI NA INESTA.