Wanataka kusajili chama huku wakiwa Wabunge

Wanataka kusajili chama huku wakiwa Wabunge

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Haya Mambo yapo Tanzania kuna Wabunge wanataka kusajili Chama Chao ili waendelee na Ubunge walionao.

Wanasahau kuwa Ukitaka kwenda Mbinguni lazima UFE.
1656573931465.jpg
 
Kijana Amka kushakucha sio kila kitu unachowaza ndivyo kilivyo ,hilo suala sio rahisi kihivyo .
 
Kijana Amka kushakucha sio kila kitu unachowaza ndivyo kilivyo ,hilo suala sio rahisi kihivyo .
Hili linawezekana sana Tanzania chini ya CCM sasa hivi. Inashangaza hawakuliwazia toka mwanzo.
 
Kwenda mbinguni siyo lazima ufe, Nabii Eliya alitwaliwa kwenda mbinguni bila kufa!
 
Msambwanda haupiti mlangoni umenasa

Ova
 
Back
Top Bottom