Wanataka Uwanja wa Mwanza uitwe Magufuli international Airport

Wanataka Uwanja wa Mwanza uitwe Magufuli international Airport

Heshima kwenu,

Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo.

Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu watapewa majina gani?

Mnafikiri CCM na watu wake ndio wa mwisho Tanzania?

Hivi Tanzania hakuna watu waliofanya makubwa ukiacha wanaccm?

Ipo siku watakuja Watanzania wenye maono na wasiopenda sifa, watafuta hayo majina ya kujipendekeza.

Wakina Mwamunyange, Mayunga, Askofu Munga, John Okello, Maria Nyerere, Salim Ahmad Salim nk.

Tanzania ni yetu sote.
If need be yatabadilishwa by future generations
 
Ni sahihi kabisa wala haina tatizo,
Tatizo ni wanasiasa uchwara kama wewe mleta mada hii ya kipumbavu zaidi.
 
Heshima kwenu,

Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo.

Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu watapewa majina gani?

Mnafikiri CCM na watu wake ndio wa mwisho Tanzania?

Hivi Tanzania hakuna watu waliofanya makubwa ukiacha wanaccm?

Ipo siku watakuja Watanzania wenye maono na wasiopenda sifa, watafuta hayo majina ya kujipendekeza.

Wakina Mwamunyange, Mayunga, Askofu Munga, John Okello, Maria Nyerere, Salim Ahmad Salim nk.

Tanzania ni yetu sote.
Wanasiasa wa CCM ndio watu special zaidi hapa Tanganyika
 
Namimi nashauri,Hospital ya Muhimbili na za mikoa yote zibadilishwe majina ziitwe Magufuli Hospital pamoja na mbuga za wanyama zote,na Magholofa yote marefu na mimi nyumba yangu nitaiita kwa jina hilo,hamuoni uchumi umepanda?na leo tunazindua kampeni kubwa za uchaguzi Tamisemi,tunaweza kuchagua kitaifa ukazindua kampeni kwenye kiwanja cha ndege Chattel mkoani Rubondo.
 
Amelitiia hasara taifu kuliko faida.
1.Ameuza. NYumba zetu
2. Alikamata meli kimakosa tukalipa hela
3.Amemunua kivuko kibovu
4.alivunja mkataba brbr ya bagamoyo tukashitakiwa na ndege ikakatwa tukalipa
5.amesababisha hasara zaidi ya bil.600 kwenye korosho
6. Amepoteza Tril2.4

Huyu akimaliza muda wake ajipeleke mwenyewe jela
Sikiwahi kufikiri Kama jamii forum Kuna low thinker wa namna hii?. MUNGU AKUPONYE BURE MKUU..
 
Muhimu baadhi ya haya maeneo yakapewa jina la huyu mchapa kazi rais wa wanyonge ili akumbukwe kwa kipindi kirefu. Acheni fitina fitina.
Huo ni upumbavu mkubwa! Watu majina yao ni vema yakatumiwa baada ya kuacha madaraka ili kujua wameacha heshima gani na sio kuhemka na propaganda za mtu akiwa madarakani na haziwezi bishiwa.
Unamtukuza mtu ambaye kesho na keshokutwa anaondolewa madarakani mnakuja wekewa uwazi kuwa kumbe ni MWIZI au MUUAJI, MUONGO au mbinafsi mtafanyaje na majina ya kumbukumbu mliyo yapa maeneo muhimu?
Idd Amin aliyekaa madarakani miaka 8 nina hakika kama kuna majina ya sehemu muhimu atakuwa amesha nyang'anywa na kuitwa wengine.
Tusishobokee kupenda sifa kwake, asubiri kama akiondoka akapimwa na kuonekana anafaa (something I doubt) basi atapewa hata mkipenda bahari ya Hindi tuite Magufuli Ocean tutaita tuu au Kilimanjaro iitwe Mount JPM sawa tuu
 
Hata kama JPM asingekuwa rais, naamini huko mbeleni wangekuja watu wenye akili na kutambua mchango MKUBWA wa Magufuli kwenye maendeleo ya Tanzania, esp miundombinu. Nenda kulia, rudi kushoto, chukia, penda, lakini huwezi kueluka kutamka jina la Magu kila unapofungua mdomo kuongelea maendeleo ya miundombinu ya Tanzania. Magu anastahili zaidi ya jina la Airport..he's an Icon (kwa mambo aliyoyafanya hata kabla ya kuwa rais). Naomba niishie hapa kwasasa.
Kutoka kwako tutegemee kusikia nini zaidi ya haya!
 
Hata kama JPM asingekuwa rais, naamini huko mbeleni wangekuja watu wenye akili na kutambua mchango MKUBWA wa Magufuli kwenye maendeleo ya Tanzania, esp miundombinu. Nenda kulia, rudi kushoto, chukia, penda, lakini huwezi kuepuka kutamka jina la Magu kila unapofungua mdomo kuongelea maendeleo ya miundombinu ya Tanzania. Magu anastahili zaidi ya jina la Airport..he's an Icon (kwa mambo aliyoyafanya hata kabla ya kuwa rais). Naomba niishie hapa kwasasa.
Kuna mwalimu muongo amewadanganya wanafunzi kua Serikali inatumia kodi za wananchi na misaada kujenga miundombinu na kutoa huduma ya Afya.Huyu mwalimu tunataka serikali imfukuze au umpe onyo kali sana.
 
Hata kama JPM asingekuwa rais, naamini huko mbeleni wangekuja watu wenye akili na kutambua mchango MKUBWA wa Magufuli kwenye maendeleo ya Tanzania, esp miundombinu. Nenda kulia, rudi kushoto, chukia, penda, lakini huwezi kuepuka kutamka jina la Magu kila unapofungua mdomo kuongelea maendeleo ya miundombinu ya Tanzania. Magu anastahili zaidi ya jina la Airport..he's an Icon (kwa mambo aliyoyafanya hata kabla ya kuwa rais). Naomba niishie hapa kwasasa.
Kile kivuko kilichonunuliwa kwaajili ya Bagamoyo ambacho wamepewa jeshi kingeitwaa Mv Magufuli tu
 
Back
Top Bottom