fikirimswahili
Senior Member
- Sep 1, 2013
- 125
- 50
If need be yatabadilishwa by future generationsHeshima kwenu,
Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo.
Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu watapewa majina gani?
Mnafikiri CCM na watu wake ndio wa mwisho Tanzania?
Hivi Tanzania hakuna watu waliofanya makubwa ukiacha wanaccm?
Ipo siku watakuja Watanzania wenye maono na wasiopenda sifa, watafuta hayo majina ya kujipendekeza.
Wakina Mwamunyange, Mayunga, Askofu Munga, John Okello, Maria Nyerere, Salim Ahmad Salim nk.
Tanzania ni yetu sote.
Wanasiasa wa CCM ndio watu special zaidi hapa TanganyikaHeshima kwenu,
Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo.
Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu watapewa majina gani?
Mnafikiri CCM na watu wake ndio wa mwisho Tanzania?
Hivi Tanzania hakuna watu waliofanya makubwa ukiacha wanaccm?
Ipo siku watakuja Watanzania wenye maono na wasiopenda sifa, watafuta hayo majina ya kujipendekeza.
Wakina Mwamunyange, Mayunga, Askofu Munga, John Okello, Maria Nyerere, Salim Ahmad Salim nk.
Tanzania ni yetu sote.
Hata Mimi najiuliza hill swali nabaki kimya tu.Maisha ya wasukuma baada ya 2025 sjui yatakuaje
kwamba JPM atatawala milele? kati yangu na wewe nani anaota?Ndoto za Mvutabangi
Endelea kuota
Umeshajisikia raha mpaka maka....oni mwako. Usipende kutaja majina ya watu wasiokujua na wala hawatakujua, huo si ujanja.Uitwe Mbowe
Yatakuwa bora zaidi ya sasaMaisha ya wasukuma baada ya 2025 sjui yatakuaje
Sikiwahi kufikiri Kama jamii forum Kuna low thinker wa namna hii?. MUNGU AKUPONYE BURE MKUU..Amelitiia hasara taifu kuliko faida.
1.Ameuza. NYumba zetu
2. Alikamata meli kimakosa tukalipa hela
3.Amemunua kivuko kibovu
4.alivunja mkataba brbr ya bagamoyo tukashitakiwa na ndege ikakatwa tukalipa
5.amesababisha hasara zaidi ya bil.600 kwenye korosho
6. Amepoteza Tril2.4
Huyu akimaliza muda wake ajipeleke mwenyewe jela
Huo ni upumbavu mkubwa! Watu majina yao ni vema yakatumiwa baada ya kuacha madaraka ili kujua wameacha heshima gani na sio kuhemka na propaganda za mtu akiwa madarakani na haziwezi bishiwa.Muhimu baadhi ya haya maeneo yakapewa jina la huyu mchapa kazi rais wa wanyonge ili akumbukwe kwa kipindi kirefu. Acheni fitina fitina.
Kutoka kwako tutegemee kusikia nini zaidi ya haya!Hata kama JPM asingekuwa rais, naamini huko mbeleni wangekuja watu wenye akili na kutambua mchango MKUBWA wa Magufuli kwenye maendeleo ya Tanzania, esp miundombinu. Nenda kulia, rudi kushoto, chukia, penda, lakini huwezi kueluka kutamka jina la Magu kila unapofungua mdomo kuongelea maendeleo ya miundombinu ya Tanzania. Magu anastahili zaidi ya jina la Airport..he's an Icon (kwa mambo aliyoyafanya hata kabla ya kuwa rais). Naomba niishie hapa kwasasa.
Mkuu huyo usihangaike naye!kwamba JPM atatawala milele? kati yangu na wewe nani anaota?
Kwako majina yasiyo na tija wala afya kwa wananchi ni umuhimu zaidi, watu tunafikiria mambo yenye tija.Ni sahihi kabisa wala haina tatizo,
Tatizo ni wanasiasa uchwara kama wewe mleta mada hii ya kipumbavu zaidi.
Kuna mwalimu muongo amewadanganya wanafunzi kua Serikali inatumia kodi za wananchi na misaada kujenga miundombinu na kutoa huduma ya Afya.Huyu mwalimu tunataka serikali imfukuze au umpe onyo kali sana.Hata kama JPM asingekuwa rais, naamini huko mbeleni wangekuja watu wenye akili na kutambua mchango MKUBWA wa Magufuli kwenye maendeleo ya Tanzania, esp miundombinu. Nenda kulia, rudi kushoto, chukia, penda, lakini huwezi kuepuka kutamka jina la Magu kila unapofungua mdomo kuongelea maendeleo ya miundombinu ya Tanzania. Magu anastahili zaidi ya jina la Airport..he's an Icon (kwa mambo aliyoyafanya hata kabla ya kuwa rais). Naomba niishie hapa kwasasa.
Kutoka kwako tutegemee kusikia nini zaidi ya haya!
Nasikia kuna lipumbavu linafanya bidii kuhaMaisha ya wasukuma baada ya 2025 sjui yatakuaje
Kile kivuko kilichonunuliwa kwaajili ya Bagamoyo ambacho wamepewa jeshi kingeitwaa Mv Magufuli tuHata kama JPM asingekuwa rais, naamini huko mbeleni wangekuja watu wenye akili na kutambua mchango MKUBWA wa Magufuli kwenye maendeleo ya Tanzania, esp miundombinu. Nenda kulia, rudi kushoto, chukia, penda, lakini huwezi kuepuka kutamka jina la Magu kila unapofungua mdomo kuongelea maendeleo ya miundombinu ya Tanzania. Magu anastahili zaidi ya jina la Airport..he's an Icon (kwa mambo aliyoyafanya hata kabla ya kuwa rais). Naomba niishie hapa kwasasa.