Wanataka Uwanja wa Mwanza uitwe Magufuli international Airport

Mara nyingi majina ya watu kupewa viwanja vya ndege, katika nchi nyingi ni baada ya mhusika kufariki.

Viwanja vya ndege kama Julius Nyerere, Oliver Tambo, JF Kenedy, n.k. ni baada ya wao kufariki.
Kwamba?
 
Dawa yake kali sana ni kidogo tu ingekuwa sawa na ile ya nyerere
 
Weka jina lako halisi ili tuuite uwanja huo kwa jina lako
 
Si tayari ana Chato International Airport.Waanze na hiyo..... CHARITY starts at home.
 
Naunga MKONO hoja
 
Safi sana. Watanzania tuaunga mkono hili wazo.
 
Uitwe JPM Serengeti air port
 
Afe kwanza tutauita jina la marehemu hamna shida yoyote.
Si anapenda sifa aharakishe kufa tu, tutamsifia kweli kweli.
Au ndio anataka kuzindua jina kwanza. Vipi vimeisha vya kuzindua?!
 
Kuna shida gsni ukiitwa, Magufuli, Janet au hata Jesca Magufuli?
Watakao kuja watapewa majina sawa na Legacy watakayojitengenezea...tutafanya makubwa zaidi yao...
Majina yetu yakuwa kwenye;

Vinu vya kutengenezea Nyuklia
Viwanda vya midege ya vita
Bandari za kisasa
Maroketi ya kwenda anga za mbali
Viwanja vikubwa zaidi vya ndege..


Huu uchafu sijui Songwe, chato airport wagawane majina ndiyo saizi zao
 
Hata hapo Ikulu badikisheni jina...msihofu nchi ni yenu hii.
 
Hilo jina litapendeza. Limefanana na Mia Khalifa(usigoogle tafadhali).
 
Hili ni wazo muujarabu
Magufuli Amefanya Mambo makubwa mno
 
Magufuri kwanza hataki kitu chochote kiitwe kwa jina lake,huo ni uhongo mkubwa sana
 
Hivi bado watu wanalia mtu kuita mradi jina la magufuri, Tanzania hakika tuna safari ndefu sana ya ukombozi.

Kuita jina kiwanja mtu analia lia kama vile wameiba trion 100 bank kuu. Bora ata angesema wahauhamisha ndo ulie lie ila wanajenga upo.


Ata akibadilisha jina la nchi liitwe (Jamhuri ya wasukuma Chato) kwangu sawa maana halina faida wala hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…