Wanatakiwa kuweka tangazo kuwa unywaji wa soda kupita kiasi ni hatari kwa Afya yako

wasabato mnazingua bana.

kwa hatua tuliyofikia ni ngumu sana kujizdhatiti unapambania afya kwa uelekeo upi ambao ni sahihi.

matumizi ya hizi mnazoita sumu yametamalaki mpaka upande wa tiba.

hunywi soda,ila unayaamini maji ya jero 1500ml.unaijuaje formular yake kama inapatana na ya mwili!!au ndio kukariri somo?

wagonjwa wengi wa sukari na pressure hawana historia ya kubugia hayo masukari yenu.
 
Hivi kwani wanaume huwa wanakunywa mirinda nyeusi mkuu?
 
Mimi pia sipendi soda kabisa hata vi-juice juice hivi hapana, hata mtu akiniambia kunywa soda namwambiaga nipe hiyo hela[emoji16]
 
Mkuu tupe faida ya kufa ukiwa na afya njema
Faida za kufa ukiwa na afya njema;
  • Hautasumbua watu kukuuguza,
  • Muda ambao watu watakuwa wakija kukutembelea utakapougua ni bora wangeendelea kutafuta au kula bia 🍺
  • Ndugu na wazazi hawatapoteza mali zao kwa kumuuguza mjinga mmoja hivi,
  • Masela na wana watakukumbuka daima maana haukufa kizembe,
  • Nitaendelea kesho
 
Figo huachia insulini..hii ni figo ya wapi..au ni mtaala mpya ambao mimi sikusoma..kwahiyo kongosho imeacha kazi yake ya kuzalisha insulin sikuhizi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya kuwa active sana napinga..mbona kobe sio active na ndio mnyama anaueishi miaka mingi kuliko wote..hili unalizungumizaje?

Kuhusu sukari na other processed food sio nzuri kabisa kiafya..tujitahidi kuviepuka.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ebu tumia akili kutafakari..usitumie matako.

Kadri matumizi ya vyakula vya viwandani hasa sukari na mafuta inavyoongezeka ndio magonjwa yasio yakuambukiza kama kisukari..kansa n.k ndivyo yanavyoongezeka.

Wewe unadhani yanaongezeka kwa sababu gani..na tena hasa mijini.

At some point wasabato wako sawa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wanaokufa kwenye ajali nao wanafaida gani au hasara gani..kimsingi kufa ni kufa tu..hakuna la maana..ukifa utaoza tu na lako limeoshia hapo..uwe na kansa au huna kansa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…