Wanatakiwa kuweka tangazo kuwa unywaji wa soda kupita kiasi ni hatari kwa Afya yako

Nini kipimo cha hiyo 'mapema' zaidi?
Kama bidhaa husika ina leta madhara kwenye mwili.atakaye tumia zaidi, ataathirika zaidi.mfano ukizidisha pilipili kwa chakula,utatamani kunya maji ili kupoza ukali.ili hali asiye weka pilipili hata Hitachi maji.
 

hivi kati ya wazungu na wabongo ni akina nani wana wastani mkubwa wa kuishi duniani??

sisi tunakunywa masoda tu,wao wana mavyakula ya mabox tokea utotoni,sio sukari pekee wanabugia mpaka mafuta nk.

kuleni mihogo na maji pekee ila wakati ukifika kichwa tu kinakupiga chini.
 
Wewe bhana kula unachotamani, kula unachoweza kupata…. dunia sio yetu hii hata ukijinyima utakufa tu.[emoji276]
Kweli mkuu kufa kupo tu,wakati ule MV bukoba iliua watu mait baadhi zilikutwa na ndomu mfukoni,walikuwa wanajiadhari na ugonjwa hatari Wa ukimwi ila kifo bana.
 
Wabongo baadhi yetu huwa hatutengi muda Wa kufanya detox.

Mbona mazungu yanabugia masukari hivyo na tena mwisho Wa dinner kuna kitu kinaitwa dessert ni fulu sukari,na bado yanaishi muda mrefu tu.
 
Katiba mpya itakuwa suruhisho la haya mambo( in nyumbus' voice)
 
Sio Figo ni Pancreas (nyongo )

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wabongo baadhi yetu huwa hatutengi muda Wa kufanya detox.

Mbona mazungu yanabugia masukari hivyo na tena mwisho Wa dinner kuna kitu kinaitwa dessert ni fulu sukari,na bado yanaishi muda mrefu tu.

shida ni desa.

mtu anapiga desa sehem anakwenda ubaoni kufundisha.
 
 
Shushia na maji ya kandoro..[emoji16][emoji16][emoji16]

#MaendeleoHayanaChama
Watu wanataka kuharibia wenzao biashara mkuu,unaweza kukuta hapa wanataka kupromote kampuni yao ya maziwa.

Maji ndo mambo yote ya kuondoa mauchafu mwilini,ukinywa soda baada ya muda mfupi ukienda kukojoa utakojoa povu,baada ya hapo piga maji baadae ukienda kukojoa utaona mkojo uko clear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…