Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Kama bidhaa husika ina leta madhara kwenye mwili.atakaye tumia zaidi, ataathirika zaidi.mfano ukizidisha pilipili kwa chakula,utatamani kunya maji ili kupoza ukali.ili hali asiye weka pilipili hata Hitachi maji.Nini kipimo cha hiyo 'mapema' zaidi?