CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Ndo hivyo ndugu yangu,maendeleo yanapokuja yanakuja na athari zake,hatuwezi kuepuka technology.Hakika, lifestyle yetu imevurugika sana nilikuwa nasikiliza kuhusu makala fulani kuhusu mbegu hizi za kisasa, kuku, samaki wa kufugwa madawa na vyakula wanavyobugia nikatafakari sana, maisha yanalazimisha watu kusaka pesa sana kwa kuzalisha kwa wingi ili kumaximize profit, yote hiyo nini? Ni kwa ajili ya material things, tumeweka rehani afya na hatimae uhai wetu for materials,its pity.
Nilishangaa sana wakati ule Kenya wamezuia mahindi yetu yasiingie kwao kwa kuwa si mazuri kwa afya zao,lakini kwa upande mwingine karibu kampuni zote zinazoiza mbegu za mahindi hapa tz zimetokea Kenya.