Wanatapatapa mpaka wanaiombea Tume ya Chande Dua! Watanganyika hatutakubali hiyo ripoti ya mchongo!

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!😂😂

Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu zaidi ya uwajibikaji? I wonder hata huyo kilaza anayeshauri haya yote kufanyika na Samia na genge lake wakakubali kama nao hawana vichwa!

Bila wauaji kuwajibishwa na yeye na genge lake kujivua kwenye madaraka waliyojivika hakuna kitu Watanganyika tutakubali. Ni kutengeneza bomu lingine, na likilipuka wakati huu raia hatutatoka tunalia!

=====

Katibu wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. DAR ES SALAAM: APRILI 18, 2026

Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu, bila upendeleo na kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa.

View attachment 3576318
Hala hapa wasije waka mulika Kwa Tochi chumba alicho Mama Mkwe

TUME YA CHANDE INAONEWA

Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza

1. Lipo kundi limeipinga tume ya Jaji Chande tangu kuundwa kwake. Sababu yao kuu ni muundo wake na jinsi ilivyopatikana. Hawa wana haki hata ya kukataa matokeo ya tume pale itakapotolewa hadharani.

2. Lipo kundi la pili linalokosoa uamuzi wa kuunda tume hii badala ya kuunda tume ya Kijaji au labda tume ya uchunguzi kutoka nje. Kundi hili lina haki zote mbili, yaani kuikataa au kuikubali ripoti ya tume ya Chande pale itakapotolewa hadharani.

3. Limeibuka kundi la tatu linaloipongeza tume ya Chande hata kabla ya ripoti kutolewa. Hili halizungumzii muundo, hadidu za rejea wala mazingira ya tume. Linaongea kana kwamba limeishaona maudhui ya ripoti na sasa linauandaa umma ukubaliane na ripoti hiyo ambayo haijawekwa hadharani.

Kwa maoni yangu, kundi la tatu kwa nia njema, linaichafua tume ya Chande. Siamini kama limetumwa na tume lakini pia siamini kama limejituma. Siamini pia kwamba kundi hili limeonyeshwa ripoti hiyo kabla haijatolewa hadharani!

Nijuavyo, Tume ya Chande ina uwezo wa kutosha kujichafua na kujiharibia. TUSIISAIDIE.

Wajaluo wakiishalewa huwa wanapenda kusema, “Ukimhifadhi mama mkwe kwenye chumba chenye giza, usiwe na tabia ya kumulika mulika humo chumbani kwa tochi”.

Mnaomulika mulika ilikofichwa tume ya Chande, acheni. Mtapofuka.

----------------- End -----------------------
 
Huyo Chande mwenyewe anasemaje?
Hii nchi bhana! Mzee wa watu alikuwa anakula pensheni yake kwa raha zake, mara paap kaja kubebeshwa zigo!
Mimi naona watajipeleka kwenye Maridhiano na hiyo ripoti kuishia makabatini, kuinusuru haiba ya baadhi ya wajumbe na waliojiweka madarakani.

Na Prof Ibrahim Lipumba Naye kaongelea mapungufu ya hiyo tume, ikiwemo script kuandikwa na mteuwaji
 
Safari hii wamekaliwa kooni,zile damu za watu waliowafukia kama Mbwa zinawalilia. Mwisho wao tayari ni swala la muda tu.
 
Bongo patamu sana aisee, tumekaa kiroho ile mbaya kila jambo maombi na kafara lazima zifanyike ili liwe halali! Hapo kote wanajaribu kukabidhi damu walizomwaga zipokelewe kwa waliomnywesha?
 
Wakuu,

Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!😂😂

Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu zaidi ya uwajibikaji? I wonder hata huyo kilaza anayeshauri haya yote kufanyika na Samia na genge lake wakakubali kama nao hawana vichwa!

Bila wauaji kuwajibishwa na yeye na genge lake kujivua kwenye madaraka waliyojivika hakuna kitu Watanganyika tutakubali. Ni kutengeneza bomu lingine, na likilipuka wakati huu raia hatutatoka tunalia!

=====

Katibu wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. DAR ES SALAAM: APRILI 18, 2026

Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu, bila upendeleo na kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa.

View attachment 3576318
Hii tume mwanzo watu mlisema hamuitambui ila siku zinavyozidi kwenda mmeanza kuielewa.
 
Kwa sasa wanasubili taarifa itoke malalamiko yataanza upya kwa sabqbu siamini kama italeta ukweli wote
Sema ndugu zangu huwa mnafeli kitu kimoja, mpo Afrika lakini huwa mnategemea mtapata standard za Ulaya.
 
Hapo ndio panaposumbua. Mzee anatamani astaafu vizuri kwa kuweka wazi kama ilivyokuwa. Lakini sasa naona anang'ang'aniwa makende.

Ningekuwa ndio mimi Chande kwa umri wa miaka 70+ nimebakiza si zaidi ya miaka 10 duniani,namwaga ugali tu. Potelea kokote wanimwage mboga. Lakini nitaenda moyo ukiwa msafi na nitakuwa nimesaidia ukombozi na kuponya pia
Huyo Chande mwenyewe anasemaje?
Hii nchi bhana! Mzee wa watu alikuwa anakula pensheni yake kwa raha zake, mara paap kaja kubebeshwa zigo!
 
Wakuu,

Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!😂😂

Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu zaidi ya uwajibikaji? I wonder hata huyo kilaza anayeshauri haya yote kufanyika na Samia na genge lake wakakubali kama nao hawana vichwa!

Bila wauaji kuwajibishwa na yeye na genge lake kujivua kwenye madaraka waliyojivika hakuna kitu Watanganyika tutakubali. Ni kutengeneza bomu lingine, na likilipuka wakati huu raia hatutatoka tunalia!

=====

Katibu wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. DAR ES SALAAM: APRILI 18, 2026

Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu, bila upendeleo na kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa.

View attachment 3576318
Tooo late wajìnga hawa
 
Ripoti ni kimba linalonuka wanajitahidi kupulizia Pafyumu
 
Back
Top Bottom