Hala hapa wasije waka mulika Kwa Tochi chumba alicho Mama MkweWakuu,
Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!ππ
Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu zaidi ya uwajibikaji? I wonder hata huyo kilaza anayeshauri haya yote kufanyika na Samia na genge lake wakakubali kama nao hawana vichwa!
Bila wauaji kuwajibishwa na yeye na genge lake kujivua kwenye madaraka waliyojivika hakuna kitu Watanganyika tutakubali. Ni kutengeneza bomu lingine, na likilipuka wakati huu raia hatutatoka tunalia!
=====
Katibu wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. DAR ES SALAAM: APRILI 18, 2026
Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu, bila upendeleo na kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa.
View attachment 3576318
Mimi naona watajipeleka kwenye Maridhiano na hiyo ripoti kuishia makabatini, kuinusuru haiba ya baadhi ya wajumbe na waliojiweka madarakani.Huyo Chande mwenyewe anasemaje?
Hii nchi bhana! Mzee wa watu alikuwa anakula pensheni yake kwa raha zake, mara paap kaja kubebeshwa zigo!
Hii tume mwanzo watu mlisema hamuitambui ila siku zinavyozidi kwenda mmeanza kuielewa.Wakuu,
Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!ππ
Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu zaidi ya uwajibikaji? I wonder hata huyo kilaza anayeshauri haya yote kufanyika na Samia na genge lake wakakubali kama nao hawana vichwa!
Bila wauaji kuwajibishwa na yeye na genge lake kujivua kwenye madaraka waliyojivika hakuna kitu Watanganyika tutakubali. Ni kutengeneza bomu lingine, na likilipuka wakati huu raia hatutatoka tunalia!
=====
Katibu wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. DAR ES SALAAM: APRILI 18, 2026
Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu, bila upendeleo na kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa.
View attachment 3576318
Kwa sasa wanasubili taarifa itoke malalamiko yataanza upya kwa sabqbu siamini kama italeta ukweli woteHii tume mwanzo watu mlisema hamuitambui ila siku zinavyozidi kwenda mmeanza kuielewa.
Sema ndugu zangu huwa mnafeli kitu kimoja, mpo Afrika lakini huwa mnategemea mtapata standard za Ulaya.Kwa sasa wanasubili taarifa itoke malalamiko yataanza upya kwa sabqbu siamini kama italeta ukweli wote
Huyo Chande mwenyewe anasemaje?
Hii nchi bhana! Mzee wa watu alikuwa anakula pensheni yake kwa raha zake, mara paap kaja kubebeshwa zigo!
Tooo late wajìnga hawaWakuu,
Baada ya kiki kubuma na watu mbalimbali ikiwemo viongozi kuanza kusifia matokeo ya tume ya Chande kabla haijatoka sasa wamekuja na kuiombea dua tume hiyo!ππ
Aloo, watu wanatapatapa kama wamekatwa vichwa, yaani kwa udhalimu na mauji waliyofanya wanadhani Watanganyika tutakubali kitu zaidi ya uwajibikaji? I wonder hata huyo kilaza anayeshauri haya yote kufanyika na Samia na genge lake wakakubali kama nao hawana vichwa!
Bila wauaji kuwajibishwa na yeye na genge lake kujivua kwenye madaraka waliyojivika hakuna kitu Watanganyika tutakubali. Ni kutengeneza bomu lingine, na likilipuka wakati huu raia hatutatoka tunalia!
=====
Katibu wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. DAR ES SALAAM: APRILI 18, 2026
Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu, bila upendeleo na kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa.
View attachment 3576318
Ripoti ni kimba linalonuka wanajitahidi kupulizia PafyumuWakuu,