Wanatia huruma Kwa kweli!

Vile tunawacheka Haaa 😆😆😆👇

 
Saivi mikutano kama kawa! Chadema na ACT wanajimwaga tu na nchi inaenda
Hawa jamaa ukiwaacha free ndio wanapoteza umaarufu kabisa sababu wanakosa kiki hata wakiruhusiwa kufanya hiyo mikutano yao hakuna cha maana wanachajadili.Mama endelea kuchapa kazi watu washaishiwa hoja tayari.
 
Lakini mbona sioni republicans wakifanya mikutano baada ya Biden kushika nchi.
 
Mfumuko wa bei vipi? Usijekuta nyongeza 23.3% na mfumuko wa bei 36%
Mwishowe tutakuwa na pesa kama za zimbabwe!
 
Mama yuko vizuri sana,,,ila tunaomba tozo/kodi wapunguze, ushuru wa magari wapunguze, bei za vyakula, mafuta na petroli/dirsel ipungue.

Cha ziada, tunakuomba mama uweke sheria kwa wapangishaji wa nyumba za kuishi wanapandisha kodi wanavyopenda. Tunaomba serikali iwatilie mkazo, na muwawekee kiwango maalum kama ni 150 au 200. Huku mikoa midogo inafika hadi milioni moja na ushee, zingine laki tano hadi 250,000/=
 
Kijana una maisha magumu lakini huachi kutetea ujinga.
 
Kina nani hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…