Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kwenye hiyo mifano Yako umeona Kuna umaskini au maamuzi yapi ya maana walifanya hao uliowataja?Mimi ni mmoja wa watu wanatumia viungo vya mikono na miguu vyote vya kushoto,nimesikia kwamba watu Hawa ni makini na wenye maamuzi hata magumu na ni wenye weredi wa Hali ya July Mfano:F.Kennedy(Raisi wa Marekani),George Bush,jr(Rais wa Marekani)Obama(Raisi wa Marekani)Uhuru Kenyata(Rais wa Kenya).Bondia MannyPaque mbunge na mtu anayeheshimika Ufilipino na Nk.Usitukane Jenga hoja.
Mimi natumia mguu wa kushoto na kuandika pia natumia mkono wa kushoto, ila mpaka sasa bado ni choka mbaya japo nilikuwa nasifiwa darasani nina akiliMimi ni mmoja wa watu wanatumia viungo vya mikono na miguu vyote vya kushoto,nimesikia kwamba watu Hawa ni makini na wenye maamuzi hata magumu na ni wenye weredi wa Hali ya July Mfano:F.Kennedy(Raisi wa Marekani),George Bush,jr(Rais wa Marekani)Obama(Raisi wa Marekani)Uhuru Kenyata(Rais wa Kenya).Bondia MannyPaque mbunge na mtu anayeheshimika Ufilipino na Nk.Usitukane Jenga hoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii kaliWale tunaotumia korodani za kushoto tu comment wapi[emoji3]
Tuanzishe Uzi wetu mana wengine mjegeje ukisimama unapindia upande huoWale tunaotumia korodani za kushoto tu comment wapi😀
Duuh safi sana!Mimi natumiankwenye kila kitu mguu wa kushoto na mkono wa kushoto ila isipokua kuandikantu natumia mkono wa kulia watu wengi wananishangaa sana hivi kuna mtu yupo kama mm
Utajiri na umaarafu,naukuuu,MannyPaque look!Kwenye hiyo mifano Yako umeona Kuna umaskini au maamuzi yapi ya maana walifanya hao uliowataja?
Mimi natumia mguu wa kushoto na kuandika pia natumia mkono wa kushoto, ila mpaka sasa bado ni choka mbaya japo nilikuwa nasifiwa darasani nina akili
Mkuu mimi natumia mkono wa kulia ila mpirani napiga left foot. Mguu wa kulia hauna nguvu, sijui inakuaje hiiMimi natumiankwenye kila kitu mguu wa kushoto na mkono wa kushoto ila isipokua kuandikantu natumia mkono wa kulia watu wengi wananishangaa sana hivi kuna mtu yupo kama mm
Kushoto ni balaa!Tuanzishe Uzi wetu mana wengine mjegeje ukisimama unapindia upande huo
na mimi hapa, mpira natumia miguu yote but left at most, kuandika kulia, kazi ngumu zote mkono wa kushoto, kiufupi watu hawanielewi [emoji16]Mimi natumiankwenye kila kitu mguu wa kushoto na mkono wa kushoto ila isipokua kuandikantu natumia mkono wa kulia watu wengi wananishangaa sana hivi kuna mtu yupo kama mm