Wanatumia mkono wa kushoto/mguu wa kushoto tukutane hapa

Wanatumia mkono wa kushoto/mguu wa kushoto tukutane hapa

na mimi hapa, mpira natumia miguu yote but left at most, kuandika kulia, kazi ngumu zote mkono wa kushoto, kiufupi watu hawanielewi [emoji16]
😅😅Yaan ulivokuwa ww ndo mm hivohvo kaz ngumu zote mkono wa kushoto ndo namudu hata kurusha mawe n kushoto ila kuandkia ni kulia njajua nko pk yngu
 
Binafsi natumia mkono wa kushoto kwenye harakati karibia zote ila upande wa miguu natumia yote japokuwa wakulia una nguvu zaidi ya wakushoto.
 
mtoa mada una hoja za kitoto,kinachofanya mtu awe na weledi mkubwa ni miguu ,mikono au kuwa na akili? kama akili zina kaa mkono wa kushoto na mguu wa kushoto basi sawa dhana yako iko sahihi atakuwa na akili za kushoto pia
Toa hoja zako sio kuniambia Nina hoja za kitoto naheshimika sana hata nikikutana na wewe utaona Aibu Bora ungentamaza kuliko dharau zako.
 
Toa hoja zako sio kuniambia Nina hoja za kitoto naheshimika sana hata nikikutana na wewe utaona Aibu Bora ungentamaza kuliko dharau zako.
unazungumzia heshima? hatamimi naheshimika zaidi yako na ukiniona lazima unipigie salute.jibu swali langu kwanza weledi unakaa mkono wakushoto na mguuwakushoto au weledi unatoka kwenye kichwa cha mtu? .
 
Back
Top Bottom