Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Tunaangalia movies zao na kwenye mitandao ulishawahi kuona choo cha kuchuchumaa hata siku moja?
Kwa hakika sijaona.
Ila kwenye muvi hawaoneshi mtu akiwa anaenda chooni na hii ndiyo iliyosababisha mdogo wangu aniulize swali humu akisema, "kaka hivi wazungu huwa wanaenda chooni kweli......". Nikabaki kucheka😂😅😁 huku nikishika mbavu zangu.
 
Ustaarabu wa mjini waachie wenyewe mkuu.
Kama umetoka Igagula au Igurusi majuzi, rudi huko ukaendeleze ustaarabu wako uliouzoea.
 
Kwahiyo wazungi wote na watu waishio huko majuu kende zao zimepasuka?
Kwani hijui ya kwamba wazungu Wana makende ambayo hayajaning'nia kama ya waafrika. Au hujawahi kushenyentana na mzungu.

Hebu jaribu unipe majibu yangu.
 
Boss
Hii ni study yako.
Ungetusaidia waliopasuka makende wako wapi na hao wanene wasioweza kujisafisha.
By the way siku hizi vinatoa maji unasafishwa moja kwa moja
Hii ni study au mawazo umeoteshwa kwanza bila ya kukupa nondo juu ya poor article yako tujibie hayo maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…