Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Tunaangalia movies zao na kwenye mitandao ulishawahi kuona choo cha kuchuchumaa hata siku moja?
Kwa hakika sijaona.
Ila kwenye muvi hawaoneshi mtu akiwa anaenda chooni na hii ndiyo iliyosababisha mdogo wangu aniulize swali humu akisema, "kaka hivi wazungu huwa wanaenda chooni kweli......". Nikabaki kucheka😂😅😁 huku nikishika mbavu zangu.
 
Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.

Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.

Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.

Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Ustaarabu wa mjini waachie wenyewe mkuu.
Kama umetoka Igagula au Igurusi majuzi, rudi huko ukaendeleze ustaarabu wako uliouzoea.
 
Boss
Hii ni study yako.
Ungetusaidia waliopasuka makende wako wapi na hao wanene wasioweza kujisafisha.
By the way siku hizi vinatoa maji unasafishwa moja kwa moja
Hii ni study au mawazo umeoteshwa kwanza bila ya kukupa nondo juu ya poor article yako tujibie hayo maswali
 
Back
Top Bottom