Wanatuonesha maziwa na matako mtandaoni kwa kigezo cha kunadi biashara ya nguo za ndani; Serikali haiwaoni?

Wanatuonesha maziwa na matako mtandaoni kwa kigezo cha kunadi biashara ya nguo za ndani; Serikali haiwaoni?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena

Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo.

Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote kifuani kwa mtoto wa kike ni sawa na kukaa uchi kabisa

Sasa bhana leo ndio katoa kubwa kuliko kaachia wazi maziwa yake kama kawaida kisha akageuka nyuma kama ananadi biashara inayokata mafuta mwilini kuweka shape sawa ila cha ajabu sasa yupo uchi wa mnyama hata chupi hajavaa .

Amevaa tu kisketi kifupi mno kipo juu ya makalio na kwa makusudi kabisa anatuonesha matako yake jambo ambalo sio sahihi maana sikuhizi mpaka watoto wadogo wa primary wana smartphone sasa je wakiingia mtandaoni wakutane na post kama hiyo itakuwaje?

Kwa kifupi huyu dada kuna biashara anaitangaza nyuma ya pazia hii nyingine ni kama geresha tu.
 
Kama jamii inashabikia maudhui ya aina hiyo kwa kuweka likes na comments nyingi, anapata nguvu ya kuendelea na anachokifanya kwa kuona yuko sawa.

Serikali inafanya kazi ya kurekebisha matokeo, lakini jamii ndiyo inayoandaa mazingira ya watu kama hao kufanikiwa.
 
Ndio nani huyo na anaoneshea wapi huko na sisi tukaone?
Kuna dem nilikutana naye chuo akanipenda sana. Tukadate kama miaka 3 hadi nikaanza kuwajua ndugu zake, hadi baba yake. Ile mwaka nikaanza kufikiria kumuoa, akanambia moja ya ndoto zake kubwa ni kuwa dancer maarufu. Hapo ndipo nilighairi kwa speed ya ngiri mkia juu…Tuliishia ivo
 
70E79E89-7E3C-4B82-9BD5-7EFEE0C5D9A2.jpeg
 
Kama jamii inashabikia maudhui ya aina hiyo kwa kuweka likes na comments nyingi, anapata nguvu ya kuendelea na anachokifanya kwa kuona yuko sawa.

Serikali inafanya kazi ya kurekebisha matokeo, lakini jamii ndiyo inayoandaa mazingira ya watu kama hao kufanikiwa.
Anafunga comment maana anajua atawashiwa moto.
 
Back
Top Bottom