Charmaine
Member
- Jan 4, 2023
- 61
- 161
Baraka Mpenja kawa wa hovyo sana! Badala ya kutangaza mpira yeye kazi yake kusifia WANDENGEREKO tu, hata kwa vitu vya hovyo Yote hii ni baada WANDENGEREKO waliandika barua Azam kulalamika kuwa yeye Mpenja hawapendi na hawataki atangaze mechi zao TOBA TO МАОКОТО yakaja na siunajua Mpenjatv inataka Matangazo tena!!
Baada ya hapo ndiyo sasa anasifia hata back pass kwa GK Jukwaani Kusifia Wanasiasa now ni COMEDY SHOW.
Tukisema ni Mkakati angalia Kamwe anavyoshadadia now wanajua Wnaachofanya nyuma ya Pazia ila hi ataeanguka mtamuona Soon wala haitachukua muda