Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Ucjusumbue bure mwenye pesa hata ukimchukia humpungizii chochote we nguchiroWewe huyo bossy wenu na,ukoo wenu hamnaga akili na hamtoendelea kiakili mtabaki kwenye list ya ujinga na uzuzu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ucjusumbue bure mwenye pesa hata ukimchukia humpungizii chochote we nguchiroWewe huyo bossy wenu na,ukoo wenu hamnaga akili na hamtoendelea kiakili mtabaki kwenye list ya ujinga na uzuzu
Je wewe mwanga,unakakitambi kanjaa , sura mbaya kama kaniki ya mganga , umekomaa kama reli za tazara sura mbaya kama mr bean, una mapengo kama ngararumu , juzi tu umeitwa ofisini ukapewa likizo kisa utapiamlo, umekomaa hadi ukitembea unajisikia ukipiga hatua , unatisha kama kenge wa kigoma . Kijitumbo kama cha kipepe , huna akili kama madenge umekomaa kama betina , kafupi kama pimbi, mnafiki kama ndumila kuwili, unacheka cheka ovyo kama fisi. Unataka mengine nikupe ??Ucjusumbue bure mwenye pesa hata ukimchukia humpungizii chochote we nguchiro
Taarabu zako hazitonisumbua hata kidogo yaa ahmakuJe wewe mwanga,unakakitambi kanjaa , sura mbaya kama kaniki ya mganga , umekomaa kama reli za tazara sura mbaya kama mr bean, una mapengo kama ngararumu , juzi tu umeitwa ofisini ukapewa likizo kisa utapiamlo, umekomaa hadi ukitembea unajisikia ukipiga hatua , unatisha kama kenge wa kigoma . Kijitumbo kama cha kipepe , huna akili kama madenge umekomaa kama betina , kafupi kama pimbi, mnafiki kama ndumila kuwili, unacheka cheka ovyo kama fisi. Unataka mengine nikupe ??
Ahmaku pia ndukum nzishe ,gasho ewewTaarabu zako hazitonisumbua hata kidogo yaa ahmaku
Waiinna sifahaaal kibaru la hilma baadahuAhmaku pia ndukum nzishe ,gasho ewew
Hahaha unaandika kikwenu aiseWaiinna sifahaaal kibaru la hilma baadahu
Lughaatul alamHahaha unaandika kikwenu aise
maView attachment 2730378
Baraka Mpenja kawa wa hovyo sana!
Badala ya kutangaza mpira yeye kazi yake kusifia
WANDENGEREKO tu, hata kwa vitu vya hovyo
Yote hii ni baada WANDENGEREKO waliandika barua
Azam kulalamika kuwa yeye Mpenja hawapendi na hawataki atangaze mechi zao TOBA TO МАОКОТО yakaja na siunajua Mpenjatv inataka Matangazo tena!!
Baada ya hapo ndiyo sasa anasifia hata back pass kwa GK
Jukwaani Kusifia Wanasiasa now ni COMEDY SHOW.
Tukisema ni Mkakati angalia Kamwe anavyoshadadia now wanajua Wnaachofanya nyuma ya Pazia ila hi ataeanguka mtamuona Soon wala haitachukua muda
Soma tena ulichokiandikaView attachment 2730378