Wanaua Brand ya Azamtv

Charmaine

Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
61
Reaction score
161

Baraka Mpenja kawa wa hovyo sana! Badala ya kutangaza mpira yeye kazi yake kusifia WANDENGEREKO tu, hata kwa vitu vya hovyo Yote hii ni baada WANDENGEREKO waliandika barua Azam kulalamika kuwa yeye Mpenja hawapendi na hawataki atangaze mechi zao TOBA TO МАОКОТО yakaja na siunajua Mpenjatv inataka Matangazo tena!!

Baada ya hapo ndiyo sasa anasifia hata back pass kwa GK Jukwaani Kusifia Wanasiasa now ni COMEDY SHOW.
Tukisema ni Mkakati angalia Kamwe anavyoshadadia now wanajua Wnaachofanya nyuma ya Pazia ila hi ataeanguka mtamuona Soon wala haitachukua muda
 
Mi ni yanga ila katika ma commentator siwaelewi Tanzania ni Mpenja, yani jamaa kutoa nicknames anaona ndio sifa na sijui hawawasikilizagi wakina peter drury angalau wajifunze sio kutangaza mpira kama Dj Afro
Ulitaka awe Peter Durry?
 
Mwanasimba kabisaaa unamlalamikia huyu Mpenja jambo dogo kama hili!....
Kwani mechi akitangaza Mpenja ndokuna ushindi et!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…