Wanaua Brand ya Azamtv

Ucjusumbue bure mwenye pesa hata ukimchukia humpungizii chochote we nguchiro
Je wewe mwanga,unakakitambi kanjaa , sura mbaya kama kaniki ya mganga , umekomaa kama reli za tazara sura mbaya kama mr bean, una mapengo kama ngararumu , juzi tu umeitwa ofisini ukapewa likizo kisa utapiamlo, umekomaa hadi ukitembea unajisikia ukipiga hatua , unatisha kama kenge wa kigoma . Kijitumbo kama cha kipepe , huna akili kama madenge umekomaa kama betina , kafupi kama pimbi, mnafiki kama ndumila kuwili, unacheka cheka ovyo kama fisi. Unataka mengine nikupe ??
 
Taarabu zako hazitonisumbua hata kidogo yaa ahmaku
 
"Baba mzazi baaaba"
"Doto mwenyekiti wa uvccm"
Hahaha kazi sana
 
Embu so
ma
Soma tena ulichokiandika
 
Sijaona timu ina watu walalamishi kama makolo. Sasa hadi commentator naye amalalamikiwa? Hebu acheni utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…