Wanauchumi nisaidieni hili sijamuelewa Rais

Wanauchumi nisaidieni hili sijamuelewa Rais

Ni kweli kabisa anachokisema rais,

Kuwa na pesa nyingi kwenye mzunguko (Hyper Inflation) sio dalili nzuri ya uchumi lakin pale pesa inapokuwa chache kwenye mzunguko inaashiria hali nzuri au mbaya pia. inategemea na nini kinapelekea pesa kukosekana.

Kwa hiyo rais yupo sahihi....
Acha uongo.
Mzunguko wa hela unapokuwa mkubwa ndo maendeleo huja. Biashara zitafanyika za nje na ndani.
Kama watu hawana hela biashara zitafanyika vipi?
haya anabana hela
Thamani ya hela ya Tanzania inapanda au inashuka?
 
Back
Top Bottom