Wanaume 14 wapandikizwa uume Hospitali ya Benjamin Mkapa tangu kuanza kwa huduma hiyo 2023

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wagonjwa 14 wamefanikiwa kufanyiwa upandikizaji wa uume katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Benjamini Mkapa (BMH) tangu kuanza kwa huduma hiyo mwaka 2023 hadi sasa huku changamoto ya wagonjwa kutofika kupata huduma ikiwa ni kujinyanyapaa wenyewe.

Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali hiyo Dkt Abdalla Baja wakati akizungumza katika kikao na wahariri wa vyombo vya Habari katika Hospitali hiyo jijini Dodoma.

Soma Pia: Watano waongezewa nguvu za kiume Hospitali ya Benjamini Mkapa

Amesema wagonjwa hufika wakiwa na aibu na kuchukua muda mrefu kabla ya kuelezea tatizo halisi linalowasumbua ambapo huduma hiyo haihusishi kupandikiza uume mpya bali kuweka kifaa kitakachosaidia uume kufanya kazi

Wanamaanisha kazi gani ya uume iliyoshindwa kufanya kazi?
 
Kama mtu anataka kumiliki mbili inakuwaje?
 
Huko tumpeleke MamaSamia2025 akabadilishwe jinsia. Ajitolee tu uume wake, maana hana kazi nao
 
Au hao wanaume wanaopandikizwa uume ndo wale wanakuwa wanaitwa "ladies and gentlemen" maana huwezi kuitwa mwanaume bila uume
 
Back
Top Bottom