PreGE2025 Wanaume 4 wamejivua uRC na kwenda kugombea ubunge. Wanawake maRC mbona kimya?

PreGE2025 Wanaume 4 wamejivua uRC na kwenda kugombea ubunge. Wanawake maRC mbona kimya?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Serukamba, Homera na Makonda kwa kujiamini kabisa wametema nafasi zao za hisani ya rais (uRC) na kuamua kwenda kuomba ridhaa kwa wananchi ili kuwawakilisha kwa nafasi ya ubunge.

MaRC wa kike mbona hatuoni wakionesha uthibutu huo? Huo usawa wa jinsia upo kwenye mirathi na ndoa tu? Fatuma Mwasa, Batilda Burian na Queen Sendiga, n.k wote kimya?
 
Wote wanateuliwa walio jivua wajinga tu.

Mbunge gani alipigiwa kura au alichaguliwa?

Kila aliyepitishwa na Rais alikuwa Mbunge.

Wote Viti maalum, wanauhakika gani watateuliwa na rais kugombea?

Hao wanawake ni smart sana.

Kwanini uavche mshahara wakati na kule unaenda kulipwa mshahara?

Wanawake anaweza kuteuliwa na akawa waziri siku hiyo hiyo.

Bora ndege uliyenaye mkononi kuliko unayemuwazia aliye porini.
 
Back
Top Bottom