Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Wewe mbahili sana

katika watu wanaospend hela mimi nafkiri wakwanza.. maana kila ninachokipenda kama nina hela lazima nikinunue.. ila tu.. mie ni mtu ambaye ni mgumu kupeleka hela pasipo na faida/manufaa.. kama nina mke.. hela yangu ataitumia kisawsawa maana nisipompa mimi atapewa na mabazazi wengine.. na hela hiyo ataitumia kwa maendeleo ya familia au yeye binafsi.. ila sio natoa hela nampa mwanamke kizembezembe tu.. mtu sio mke wangu.. alaf anze kujisifia kanichuna.. hahaha haipo hiyooo
 
Hahahah, jf raha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee huyo mkaka sitamsahau kamwe hata nauli ya kurudia hakunipa ikabidi nimchane laivu yani sku nyingine akanitumia niakenda nikalala asubuhi kaenda kazin akasema niweke sehemu ufunguo wakati wa kuondoka nikasomba tshirt spray mafutaa track suti head 4ne na Flash nikabeba vyote nikajilipaa kwenye fridge nikabeba matunda wine juice nyamaa samaki sombaaa vyote hana hamu na mm nakwambia
 
Hahahahhaaaa.
 
Sawa
 
Unatuma nauli kwa demu,halafu unasema sijawahi kucheza kamari... Nilinunua ticket ya flight kwa demu mmoja,rafiki yake na demu wangu,tena nina mwana Fast Jet,nikamwambia mkabidhi ticket,zen make sure ana board,akizingua mpole,uza kwa mwingine hata kwa hasara,basi demu ile anatua tu mwanza,kidume ninaye,nikala weeee,hadi mwisho,nikampandisha Bus Nyegezi stand!!!
 
Aisee! Basi mimi nawapa pole wote, wewe na huyo mkaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…