Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

KUMTUMIA HELA MWANAMKE AMBAYE SINA UHAKIKA NAE SAWA SAWA NA KUCHEZA BIKO... na mimi SICHEZI BIKO ever...... nakufata na GARI nakupeleka sehemu ISIYOJULIKANA kama hutaki baki KWENU.
Hahahahhaha balaaaa
 
sijawahi KULIWA hela YANGU kindezi kiasi hicho... akitaka hela NJOOO UIFATE,,, na ukija HUTOKI hivi hivi..... WANYASA WATALIWA HELA hadi wakome
Hahahah hata akija utamuamini sku nyingine unaamua kutuma ndo itakuwa imekula kwako
 
Kuna mtu hapa nampanga anipe hela ya ticket anasema anatuma ticket. Kama vile kajua nataka kuila maana mtu miaka mitano anatongoza tu hachoki si bora nile tu hela yake maana inamuwasha kuitumia kwangu
 
Uza tiket tu hakuna namna hahahaha
 
Back
Top Bottom