Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Mshenzi yule alitaka kula nauli yangu nikawahi kuwaambia voda kuwa nimekosea namba.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dhaaaaaaaa tang dent wa form 5
Akule 15 yang nlimtumia atoke Moro to dar lkn mjinga Yule hakuja na,cm kazma dadek zake naomy
Ntaja kupga mtungoww
 
We dada kopera mpaka maaskari unawachuna.
Tulipanga kuwa wachumba mweeeh kwa ile style yake ya kunikulaaa sana nikaamua kumbwaga chini mama unakulwaa mpaka unahisi moto umechochewa chini
 
[emoji23] [emoji23] Demiss ukuje unipe mbinu mpya za kumlipua mtu nimemkanya hataki kusikia
Kashaingia kilingeni kumsaidia engineer, hapa mebaki mimi na wewe sasa mrembo!.
Hebu nambie unataka nilipua ngapi niwahi jilipua mwenyewe🙂.
 
Dhaaaaaaaa tang dent wa form 5
Akule 15 yang nlimtumia atoke Moro to dar lkn mjinga Yule hakuja na,cm kazma dadek zake naomy
Ntaja kupga mtungoww
Hahahahaha pole sanaa
 
Tulipanga kuwa wachumba mweeeh kwa ile style yake ya kunikulaaa sana nikaamua kumbwaga chini mama unakulwaa mpaka unahisi moto umechochewa chini
Ulikua uolewe na afande? Asee we utakua umeishi barracks ( kota za polisi)
 
Nimetuma nauli mtoto anatoka arusha ila mpaka sasa hivi nipo ubungo namsubiri sasa sijui kama kweli yupo kwenye basi au yupo kwenye daladala anatoka ungalimited kwenda sakina wanaume tunatabu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…