Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
subiri kamuda kaende sasa!..mida ya watoto hii.Njoo hapa stand ya Bagamoyo nakusubir ngoja nichukue boda mpaka kwa Manka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subiri kamuda kaende sasa!..mida ya watoto hii.Njoo hapa stand ya Bagamoyo nakusubir ngoja nichukue boda mpaka kwa Manka
We dada kopera mpaka maaskari unawachuna.Alafu ni Askari wabahili kama nn alikuwa anakaa bado majumba yao wanayaita big brother
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mshenzi yule alitaka kula nauli yangu nikawahi kuwaambia voda kuwa nimekosea namba.
Mmmh siku nyingine angalia wa kuwatenda huyo si umemfilisi kbsAlafu ni Askari wabahili kama nn alikuwa anakaa bado majumba yao wanayaita big brother
Asee hawaonei hata huruma dah ,huu ukatiliWe dada kopera mpaka maaskari unawachuna.
Utaongoza wewe mzoefu wa barabara kupata shortcut na kiwanja!.Mpaka tufike chalinze mida ya wanga tayari
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jackie wa mbagala hela yangu haiendi bure...ama zako ama zangu bibie
[emoji23] [emoji23] Demiss ukuje unipe mbinu mpya za kumlipua mtu nimemkanya hataki kusikiasasa kama nimekubali hasara kiroho safi bado unanionea huruma tu!..
we ngoja nikuwekee kambi kabisa
Haa haa haa aiseee kwenye huu uz nmecheka sanasasa mwendo wa kutuma ticket tu tena inalipiwa ukifika
Kashaingia kilingeni kumsaidia engineer, hapa mebaki mimi na wewe sasa mrembo!.[emoji23] [emoji23] Demiss ukuje unipe mbinu mpya za kumlipua mtu nimemkanya hataki kusikia
Ulikua uolewe na afande? Asee we utakua umeishi barracks ( kota za polisi)Tulipanga kuwa wachumba mweeeh kwa ile style yake ya kunikulaaa sana nikaamua kumbwaga chini mama unakulwaa mpaka unahisi moto umechochewa chini
Daah kwa hiyo mnatuona wajinga sanaaKama wanatoa hela kizembe kama MAZOBA unadhani watajitokeza.
Acha tuendelee kufanya shopping na nauli zao.