Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Ukitumiwa hela unaendelea kubebisha hapo unaelekea tigopesa ukitoka tu nyodo ndo unaanza huyo hajui utapeli
mimi ningekiomaa na wewe hata wiki nzima.. afu ningekuwa mpole ningekuambia basi utakuja kesho... na ningekuambia kabisa hio pesa itumie nitakutumia nyingine na maneno matamu mengiiii.. ile huku nimeshawasett tigo kabisa.. ukiiniza tu mpunga .. wanaulamba .
 
Hiyo haipo tumeshajaribu tukashindwa kuna mtu alitoa pesa bila ridhaa mpaka leo mizinguo masharti wanasema eti upige simu hapohapo wakati yeye kaweka hela huwez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…