Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Uneza kuta demise ni msela flan anatumia picha za sista yake.......jf sitafuti demu kabisa mi tutakutana kwenye daladala huchomoki
Hahahahah uwiii mwanaume anayejibebisha hivi atakuwa hana tofaut na Bobrisky
 
haya mambo mnayachukulia mzaha ila mie iliniuma sana anko wangu ni njagu mdg wake kafukuzwa shule ajamaliza ada anko katuma laki na nusu nauli toka bukoba hadi tabora

demu hakutokea, nilimdharau anko sana
Haaaa aiseee demu alifurahia sana
 
Demiss pamoja na kunilia nauli bado sichoki ..ntumie ile namba nikutumie tena,ila plz usirudie kunitangza
Wako mme wa bahati
Hahaha yani unaweza kula na nauli ya mtu mwenye malengo ukajiharibia
 
Hahaha yani unaweza kula na nauli ya mtu mwenye malengo ukajiharibia
Uko sahihi demi mfno mi demu wa kupita nakomaa nae sana staki kuliwa sana nawek dau zitto ,il if nimefall nkuwa vry slow ,sasa kinachonitoa kwenye reli viuhuni vya hivi
 
Nafikiri roho ya kimaskini ndio chanzo cha kula nauli. Ukiwaza kitajiri nauli ni ela ndogo isiyoweza kukutoa kimaisha. Ndio maana wengi wao hawafanikiwi kwasababu wanaishi na manung'uniko ya waume walio walia nauli. Kama humuitaji mtu mwambie wazi na nauli yake kataa asikutumie.
"Ela ya Mwanaume huwa Hailiwi ni Lazima Utailipia tu kwa Namna Nyingne Popote Ulipo".
Ukiona haufanikiwi waombe msamaha uliokula nauli zao.
 
Nkikumbuka inauma😕...ulinambia nkutumie hela ya nywele na Nauli ...ile natuma tuu naambiwa baba amerudi kwaiyo siwezi kutoka......hata jina nmekusahau ila nmekusamehe mwaya maisha mema!
 
Nkikumbuka inauma😕...ulinambia nkutumie hela ya nywele na Nauli ...ile natuma tuu naambiwa baba amerudi kwaiyo siwezi kutoka......hata jina nmekusahau ila nmekusamehe mwaya maisha mema!
Hahahahah pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…