Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hiyo kawaida tu!Hahaha pole sana alafu sjui kwann huwa tunakula nauli
Hahahahahahaaa mm bado cjakutana na upigaji wa namna hii.Najua wanaume wengi mmepigwa sana vibomu na warembo.
Nauli mnatuma alafu warembo hawatokei ni balaaa.
Mimi Demiss nimekula sana tu nauli za wanaume hasa kipindi nipo chuo kwa kutumia mbinu mbalimbali za kivita za utapeli.
Wanaume wa Facebook
Wanaume wa IG.
Wanaume wa mtaaani anakuita uende sehemu unamwambia tuma nauli na wala huendi.
Hata hapa Jf nimeshakula sana nauli karibuni wote niliokula nauli zenu mtiririke na kuserereka in Gentamycine voice.
Mfano wa comment:
WEWE DEMISS HAKIKA SITAKUSAHAU NIKAKUTUMIA NAULI UTOKE DODOMA KUJA MWANZA KUMBE NI UONGO NAPIGA SIMU UNANIAMBIA UMEFIKA NZEGA SIJUI ULIKUWA UNATUMIA UONGO GANI VITUO VYOTE VYA BASI UNAVIJUA HAKIKA WEWE NI TAPELI KULIKO HATA WALE WA HELA HII ITUME KWENYE NAMBA HII
NASEMA DEMISS TAPELI MKUBWA WEWE SITAKUSAHAU UKAAMUA NA KUNIBLOCK HAKIKA UNA DHAMBII KULIKO HATA SHETANI.
Karibuni jamani wanaume mtuchambe leo wanawake.
Wanaume tuko pamoja leoo eeeeeh
Anapiga nyeto kwanza ndio arudi kukomenti!Unaenda wapi?
Hujajua? No way. Mna makusudi sana nyie [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]Hahaha pole sana alafu sjui kwann huwa tunakula nauli
ok sawa, lkn mm huwa nkionyeshwa dalili za upigaji nakata mawasiliano mazima.Jiandae kisaikolojia
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji40]Hahaha tamaaa ndogo ndogo
mkuu hata atumie mbinu za medani za kivita ntazipangua 2.Wana mbinu mbali mbali
Nalia kwa jinsi mnavyotuibia na kusepaMbna unalia
pole yake pengine kashaliwa nauliMbna unalia