Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Najua wanaume wengi mmepigwa sana vibomu na warembo.
Nauli mnatuma alafu warembo hawatokei ni balaaa.


Mimi Demiss nimekula sana tu nauli za wanaume hasa kipindi nipo chuo kwa kutumia mbinu mbalimbali za kivita za utapeli.
Wanaume wa Facebook
Wanaume wa IG.
Wanaume wa mtaaani anakuita uende sehemu unamwambia tuma nauli na wala huendi.


Hata hapa Jf nimeshakula sana nauli karibuni wote niliokula nauli zenu mtiririke na kuserereka in Gentamycine voice.

Mfano wa comment:

WEWE DEMISS HAKIKA SITAKUSAHAU NIKAKUTUMIA NAULI UTOKE DODOMA KUJA MWANZA KUMBE NI UONGO NAPIGA SIMU UNANIAMBIA UMEFIKA NZEGA SIJUI ULIKUWA UNATUMIA UONGO GANI VITUO VYOTE VYA BASI UNAVIJUA HAKIKA WEWE NI TAPELI KULIKO HATA WALE WA HELA HII ITUME KWENYE NAMBA HII
NASEMA DEMISS TAPELI MKUBWA WEWE SITAKUSAHAU UKAAMUA NA KUNIBLOCK HAKIKA UNA DHAMBII KULIKO HATA SHETANI.

Karibuni jamani wanaume mtuchambe leo wanawake.

Wanaume tuko pamoja leoo eeeeeh
Hahahahahahaaa mm bado cjakutana na upigaji wa namna hii.
 
Na wewe utiririke ulivyopewa mimba afu boy akaingia mitini,,ukaamua ufanye utapeli wa nauli ili upate hela ukatoe mimba......duh! wanume tuna dhambi😉😉😉😉
 
Back
Top Bottom