Alikuwa mpole nikamchukulia poa kwamba hawezi fanya huo mchezo aiseee iliniumaInaonekana wewe ni gwiji ila ulikutana na gwiji mwenzio.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaenda wapi?
Maaaaah mimi huwa nahamisha kwenye laini nyingine chap unajua wengine tunakaa apartment hata kuikuta mpesa siyo rahisi naweka mtandao mwingineDah ilishanitokea nakuja kuangalia hela imerudishwa kuanzia hapo nikitumiwa hela fastaaa M-PESA sitaki ujinga
Unatumia hela zake kama kale kaneno 'ponda mali kufa kwaja"[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahha alafu hela yake wala haiumi kutumia
Maimuna wewe ni m-senge!Najua wanaume wengi mmepigwa sana vibomu na warembo.
Nauli mnatuma alafu warembo hawatokei ni balaaa.
Mimi Demiss nimekula sana tu nauli za wanaume hasa kipindi nipo chuo kwa kutumia mbinu mbalimbali za kivita za utapeli.
Wanaume wa Facebook
Wanaume wa IG.
Wanaume wa mtaaani anakuita uende sehemu unamwambia tuma nauli na wala huendi.
Hata hapa Jf nimeshakula sana nauli karibuni wote niliokula nauli zenu mtiririke na kuserereka in Gentamycine voice.
Mfano wa comment:
WEWE DEMISS HAKIKA SITAKUSAHAU NIKAKUTUMIA NAULI UTOKE DODOMA KUJA MWANZA KUMBE NI UONGO NAPIGA SIMU UNANIAMBIA UMEFIKA NZEGA SIJUI ULIKUWA UNATUMIA UONGO GANI VITUO VYOTE VYA BASI UNAVIJUA HAKIKA WEWE NI TAPELI KULIKO HATA WALE WA HELA HII ITUME KWENYE NAMBA HII
NASEMA DEMISS TAPELI MKUBWA WEWE SITAKUSAHAU UKAAMUA NA KUNIBLOCK HAKIKA UNA DHAMBII KULIKO HATA SHETANI.
Karibuni jamani wanaume mtuchambe leo wanawake.
Wanaume tuko pamoja leoo eeeeeh
Huwa nikiipata naruka ruka mpaka juu aiseee hapo kama wanne wote wamekutumia upo na rafiki yako akipiga sm anawasha sm huku anasema shwaaaaaaaah priiiii anahisi upo kwenye gariInaanzaje kuuma. Tena ikikukuta mjini unafanya kuunganisha huko huko mpaka iishe.
We acha tu ila umenifunza jambo hawa viumbe wanajifanya nao wamekuwa wajanjaMaaaaah mimi huwa nahamisha kwenye laini nyingine chap unajua wengine tunakaa apartment hata kuikuta mpesa siyo rahisi naweka mtandao mwingine
COMMENT YAKO NIMECHEKA HATARII
Ilishaandikwa tutakula kwa jasho lao[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha nimecheka hapo kwenye kuuma kama yakwako