Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

Hahahah hujakutana na kina Chausiku wewe? MATAPELI WA KIWANGO CHA JUU
Mimi nishakaa maisha yote, kutoka home ushuani Obay mpaka nilipotoka nikaamua kujichanganya maisha ya Uswahilini Tabata Ubaya Ubaya - ya enzi hiyo, si ya leo. Huko kinamama wazaramo wazaramo tele, ukiwa unatoka asubuhi soap soap kwenda mjini, unarudi jioni huna story na mtu, wewe tayari deal. Ukiwa na uwezo wa kwenda bar kununua Safari mbili na chips mayai regularly wewe tayariunaonekana kibosile, watu wanauliza kwa nini hujaoa?

Maisha ya kina Sikudhani nyumba ya vyumba sita watoto wa uswahilini kukugongea mlango na kukuambia "mama kasema mkopeshe shilingi mia moja" nishaishi.

Na watoto wa kishua kina Danielle wa The Hamptons wanaopishana na Paris Hilton kwenye summer vacations zao Long Island nao nishakaa nao.

Ndiyo maana nakwambia stories zote nishazijua. Nikitaka kusaidia nitasaidia tu, lakini si kwa minajili ya kuwindana kwa hela za nauli.

It is petty and smallminded.
 
Ukute hakumkomoa yeye anajifanya kamkomoa kumbe huyo dada aliwaza mbele zaidi ukute nae hilo bus hata hakupanda... Hizo hela akazifanyia bajeti nyingine.

Chezea.
 
Mmh miaka yote ya chuo niliwahi kupiga mzinga mara moja tu, siku moja nilikuwa hoi bin taabani nna sh 1000 nimefuja pocket money yooote nikajiuliza naombaje tena hela home? nikatumia uongo mtakatifu kwa jamaa niliachana nae kipindi hiko hiko kupata hela. Uongo ambao sio wa kunisubiri walaaa, Ee Mungu nisamehe ulikuwa ujinga tu. Nikapata hela kibao kesho yake
..
 
Hahahah kama ni sehemu ya elf 20 namwambia tax aseme 40 alafu 20 naweka mfukoni kabisa kabla sjafika
Hahahahaha lakini hayakomi
Hapo hakuna ujanja
Umepania haswa
Unaweza tengeneza laki2 kiulaini na tra hawajui
 
[emoji3][emoji16][emoji16]wanaume baadhi wanajisifu hawajawahi kubet wakati tendo La kutuma nauli kwa asiyejulikana kutoka dar hadi mwanza ni kubet toshaa
 
40 zake zilifika
 
Bahati nzur sijawa wa kudeal na aina ya hao madem,nashkuru mim hupata wanaonifuata na zawadi huniletea. Dem ue tapeli vipi ukikutna na sumu ya maneno nauli utatoa getto utakuja na mbunye itaviringwa.
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Tamaa ni utumwa ulio vaa vazi la ujinga.

Kuna maisha ukiishi na ukiwa na mlengo fulani huwezi kupitia haya.
 
Na mimi nashanga[emoji23]
[emoji16] [emoji16] enzi cha ujana wa Chuo nilikula sana pesa za watu jamani...kina likaka linigeria nililipataga mtandaoni uko alikua msumbufu kinyama..nikamwambia usipate shida tuma nauli nakuja Nigeria.. Ila nikawa naogopa balaa..siwajua nguvu za marafiki mnigeria akatuma dollar ...alipiga simu messenger hadi alikoma
 
Kuna mpuuzi mmoja alikuja akanipangia masharti ya kumla wakati nishamtumia hela ya shopping!.. Kumtimua kwangu Mbwa yure nikajifanya kumuwahi niwapigie customer care waizuie wakanambia washaizuia nikarelax!. Kupita masaa 24 hela haijarudi nawapigia customer care wananambia kulikuwa na matatizo kwenye mtandao haikuzuiwa na mbwa imeshaitoa hela!.
Nasemaje wewe Ik*$%% na hao customer care wa @#%% wote mbwaaaa!!..
Siku hiyo ngekubaka tu nijue moja!.. hela umekula mzigo ukanipangia masharti!..

Yaishie uzi huu huu hayo mambo!.[emoji115]
 
We tina usifikili ile hela ya nauli uliyokula nimesahau,bado nakuundia kamati utakuja kuludi kwenu bila sketi wewe kula tu nauli za jinsia tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…