Bahili.Hapa najiuliza...
Kwa mimi ambaye haijawahi nitokea, ni kwamba mi ni mjanja sana au ni bahili sana?!
Hutakiwi kutuma tuma hela ,Kuna wapigajiKitu gani?
Nimemwambia anipe mkononi anasema mi sungura nataka kula hela yake nisiende [emoji23][emoji23][emoji23]Fanya utaratibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwa wanaboa watu wa hivyooo
sogea sogea barabarani nikupitie!..Nipo hapa Msata ndo anachunguza nan atanikwiba mpaka Dar
Hata mi nadhani kwa kweli.Bahili.
WENYE MOYO HUO ni wale wanaoweza kucheza BIKO/3MZUKA.. mie huo MOYO WA KUTANGULIZA HELA SINA kwakweli...Hahahah hata akija utamuamini sku nyingine unaamua kutuma ndo itakuwa imekula kwako
Hahahah, jf raha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku nilienda kudanga nikakopwa sitasahau niliumia sana alafu alinikula mpaka papuchi ikawaka motoo ndugu yangu sitasahau
Sina mpango wa kwenda na yeye mjanja hataki kunipa hela mkononi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee hapo sasa mtihani kwenda au kubaki
Basi natangaza nafasi za kozi kwa ajili ya wahanga hawa...Bahili