The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Salaam kwa wana Yanga na wale ambao hamjabahatika kuwa wanayanga.
Wanaume huu wimbo si mbaya kucheza na mpenzi wako kwani unamaudhui mazuri ya yeye kujidaia wewe.
Ila sasa Jana nkazama boardroom pub sinza nakuta vijana wa kiume tena wakiwa na wapenzi wao wanaimba nanukuu"" ... Nimelipata bwaaana la kunidekeza....
Viongozi hii imekaa kike sana hata ukienda na mwenzio kwenye taarabu kidume tunatarajia uwe busy na simu na kucheza kwa staha sio unacheza hadi kibaiskeli
Ngoja nkabet ntarudi
Uzi tayar