Wanaume achane kuimba " nipo nyonyo nipo titi "

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Salaam kwa wana Yanga na wale ambao hamjabahatika kuwa wanayanga.

Wanaume huu wimbo si mbaya kucheza na mpenzi wako kwani unamaudhui mazuri ya yeye kujidaia wewe.

Ila sasa Jana nkazama boardroom pub sinza nakuta vijana wa kiume tena wakiwa na wapenzi wao wanaimba nanukuu"" ... Nimelipata bwaaana la kunidekeza....

Viongozi hii imekaa kike sana hata ukienda na mwenzio kwenye taarabu kidume tunatarajia uwe busy na simu na kucheza kwa staha sio unacheza hadi kibaiskeli

Your browser is not able to display this video.

Ngoja nkabet ntarudi
Uzi tayar
 
Shida yako Ni hujui kutofautisha Kati ya " wavulana" na " wanaume"

Wewe umewakuta wavuna wanaimba vile afu unakimbia humu kufungua Uzi na kuanza kutupondea sisi wanaume tunaojielewa.Acha kukaa na wavulana.
 
Upo nyonyoo upoo titiii

Mm kwanza safarina Sina shida nae Nina shida na vidume walio download nyimbo hyo ktk simu alfu

Kuna tangazo fln wasafi tv la hadija kopa anasema mwanamke wa mtu sumu alfu tena akasema mwanaume wa mtu maziwaaaa .Alo ananikera snaa yule mam

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Shida yako Ni hujui kutofautisha Kati ya " wavulana" na " wanaume"

Wewe umewakuta wavuna wanaimba vile afu unakimbia humu kufungua Uzi na kuanza kutupondea sisi wanaume tunaojielewa.Acha kukaa na wavulana.
Uko sahihi
 
Mi mwanamke tuu unanikera huo wimbo sasa nashangaa hao wanaume vipi?.mhh halafu mtoa mada hyo video ndo alikua anaimba upo nyonyo?
 
Mi mwanamke tuu unanikera huo wimbo sasa nashangaa hao wanaume vipi?.mhh halafu mtoa mada hyo video ndo alikua anaimba upo nyonyo?
Ni mfano dada wa jinsi vijana wanajilegeza
 
Upo nyonyo upo titi aahaa umejaa tele unalishwa vinono upo fiti.
 
Vijana saiv akili zetu zimejaa ujinga ujinga tu, ungrkuwepo kipindi kina bitchuka wanaimba kuvaa uhalisia wa wanawake si ndio ungewachukia kabisa
 
Nimeangalia hio video hadi nimedindisha kummke😂😂😂
 
Sasa huyo ni mwanaume ama ni shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…