Wanaume acheni huu uchafu

Write your reply...bibie hawachi sio kwamba elimu inahitajika maungo tumeumbwa tofauti we ndo mwenye uhitaji wa maji ukikojoa sio sisi


ukifuta usipofuta haina effect kitundu chenyewe cha kutoa mkojo ni kidogo muundo wa penis ni kama bomba

mtoa mada YUPO sawa ukikoja mwaga maji choon .choo kisinuke ila kwa hilo la sisi kutawaza tukikojoa naona ni kama options yaani mwanaume nitawaze kama mwanamke
 
UDSM hall 2 na hall 5 enzi hizo, sijui kama sasa hivi kuko okay.

Kama Mungu alituepusha magonjwa kwa vyoo vile, hata hii corona itapita tu.
 
Sisi tukisha temea hapo mate imetoka hiyo
 
ulivosema asilimia kubwa upo sahihi, hua nakereka sana na hiyo tabia mijitu mingine huenda mbali na kufikia kukojoa pembeni ya tundu la choo
 
Mara chache sana kukuona umeandika mada na ukiandika ni kulalamika why?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Uislamu usafi wa kujisafisha ni kwa jinsia nzote labla kama sio Muislamu
 
Jieshimu wewe
Nakojoa nimesimama ujue ,so mkojo ukibaki kwenye sink haunihusu


Acheni kutoa maelekezo kwa wanaume itakuja fika siku mtataka kwenye mgegedo tuje na spirit ya kufutia shahawa tunazowamwagia
Shame on you

Nonsense
 
wife akitaka kujua kama nimeonja,huwa anaenda toilet

na hapo utamsikia mafumbo yake 'nyie watoto nani ametoka huku chooni.?' hapo najua nimemwaga maji kidogo na bado smell IPO

*ila mkojo una harufu kali

wa mwingine unavyonikera nadhani na wangu huenda ukawa zaidi..ukute mkojo mixers vodka,energy,alikasusuسيلص,kahawa,ugoro,soda...hata nzi hatui.!!

*huwa namwaga maji ya kutosha;mkojo hauna siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…