Wanaume acheni huu uchafu

Naona hapa kuna kutwanga maji kwenye kinu..ukirudi kwenye uhalisia ni ngumu mwanaume kwenda na maji wakati wa kukojoa tu. ..ni ngumu (mbishe,mkubali) wao wanajua kwenda kutoa dushelele zao wakojoe wasepe, maji atabeba kama anaenda kupuu au kuoga.

Tukirudi kwa nyie mnaotaja taja UTI,inaonesha na nyie kiwango cha usafi wenu hakijavuka 90+% na pia hamnywi maji ya kutosha.
Mwanadamu ukinywa maji ya kutosha na ukiwa perfect enough kwenye suala la usafi UTI utaisikia kwenye bomba tu.
 
Dear uti inatokea kwa sababu ya maumbile ya wanawake urethra ni fupi
Lakini kuna mazingira yanapelekea kupata uti kama kwny vyoo vya kushare hasa cha kukaa, usafi ni muhimu ndio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa we na wewe nani kakuambia utawaze kama mwanamke? Kinacholalamikiwa hapa ni kumwaga maji ili usikere wengine wataokuja kutumia choo baada yako!
 
Dear uti inatokea kwa sababu ya maumbile ya wanawake urethra ni fupi
Lakini kuna mazingira yanapelekea kupata uti kama kwny vyoo vya kushare hasa cha kukaa, usafi ni muhimu ndio

Sent using Jamii Forums mobile app
Usafi
Maji ya kunywa ya kutosha
I assure you, UTI utaisikia kama hivi ukija JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…