Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Inabidi tangazo liwe kwa mlangoUmeona eeh? Ni hulka yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tangazo liwe kwa mlangoUmeona eeh? Ni hulka yao
Haha na kweli muhimu ni usafiVya wanaume vinaongoza aisee, hata kuwe na maji.
Wana Ile mikojo ina harufu Kali Kama Wana kiwanda cha kemikali [emoji2961]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sure thingVile nikiingia hua naflash ndoo nzima kwanza japo hua naona sijafanya kitu
Wewe ndiye mchafu unaezungumziwa hapa, kama hujui kazi ya hayo Maji basiHayo maji nikienda nayo nitayafanyia nini?
Huruhusiwi kunywa maji toilet
Sijui huwa wanafikiria nini yaani
Hahaha umenikumbusha rafiki yangu huwa anasema hivyo pia
Unaweza kuunganisha humohumo(kukojoa na kukata gogo) ili kupunguza safari.Anus na mkojo wapi na wapi?
Dear uti inatokea kwa sababu ya maumbile ya wanawake urethra ni fupiNaona hapa kuna kutwanga maji kwenye kinu..ukirudi kwenye uhalisia ni ngumu mwanaume kwenda na maji wakati wa kukojoa tu. ..ni ngumu (mbishe,mkubali) wao wanajua kwenda kutoa dushelele zao wakojoe wasepe, maji atabeba kama anaenda kupuu au kuoga.
Tukirudi kwa nyie mnaotaja taja UTI,inaonesha na nyie kiwango cha usafi wenu hakijavuka 90+% na pia hamnywi maji ya kutosha.
Mwanadamu ukinywa maji ya kutosha na ukiwa perfect enough kwenye suala la usafi UTI utaisikia kwenye bomba tu.
Sasa we na wewe nani kakuambia utawaze kama mwanamke? Kinacholalamikiwa hapa ni kumwaga maji ili usikere wengine wataokuja kutumia choo baada yako!Write your reply...bibie hawachi sio kwamba elimu inahitajika maungo tumeumbwa tofauti we ndo mwenye uhitaji wa maji ukikojoa sio sisi
ukifuta usipofuta haina effect kitundu chenyewe cha kutoa mkojo ni kidogo muundo wa penis ni kama bomba
mtoa mada YUPO sawa ukikoja mwaga maji choon .choo kisinuke ila kwa hilo la sisi kutawaza tukikojoa naona ni kama options yaani mwanaume nitawaze kama mwanamke
Mama hao usiwalazimishe kutawaza utakuwa unatwanga maji kwenye kinu bure, we tuendelee tu kushikilia hapo kwenye kumwaga maji chooni basi.Kwenye Uislamu usafi wa kujisafisha ni kwa jinsia nzote labla kama sio Muislamu
UsafiDear uti inatokea kwa sababu ya maumbile ya wanawake urethra ni fupi
Lakini kuna mazingira yanapelekea kupata uti kama kwny vyoo vya kushare hasa cha kukaa, usafi ni muhimu ndio
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalenga Tundu!Unamwaga pale ulipokojoa
Nakunywa maji dearUsafi
Maji ya kunywa ya kutosha
I assure you, UTI utaisikia kama hivi ukija JF
Nalenga Tundu!Unamwaga pale ulipokojoa