jirani hadi huku huwa unekuwepo eehMuuzaji wa nyapu katika ubora wako
Nakuonaasee nilijuaga ni ke, nadhan hiyo avatar ndio ilikuwa inachanganya.
[emoji23]
You are so busy nowadays friend[emoji38]Haha... missed you.
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona umeharibika hivi siku hizihaki ya Mungu nlikuwa namvutia kasi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sjajua ingekuwa vip
Haha... busy wapi tehna t.You are so busy nowadays friend[emoji38]
Ndio nataka nimtongoze mume wangu maana ninavyompenda mpaka nahisi kumtongoza tena.
[emoji16][emoji16] hivi unajua hapo ulipo hadi hospitali ya mirembe dodoma sio mbali?Ndio nataka nimtongoze mume wangu mmana ninavyompenda mpaka nahisi kumtongoza tena.
Hahahaaa! Mngejua wenyewe huko pm [emoji41]haki ya Mungu nlikuwa namvutia kasi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sjajua ingekuwa vip
Unataka nikusindikize?[emoji16][emoji16] hivi unajua hapo ulipo hadi hospitali ya mirembe dodoma sio mbali?
[emoji41][emoji41] Good evening broohKwahiyo mtu kukupm tu unataka akulipe??? Manina[emoji1492][emoji1492][emoji1492]kwani huko inbox kwako kuna na huduma ya chakula????
DumeSuruali
Nakuona
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Ukija kwangu weekend utafundishwa na wifi yakoWe nifundishe bwana acha maswali.
Hahaaaa nipo jirani huwa napita pitajirani hadi huku huwa unekuwepo eeh
sjawahi kuona kabsa
Kaone.. zubuthuu na IQ yangu yote hii. Kule mnaenda Vilaza tu [emoji16][emoji16]Unataka nikusindikize?