Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kuna thread yake inaonyesha yeye ni mwanaume, mara hapa tena ni mwanamke. Kuna wanaume ndio zao hizo utaombwa hela ila ukimuomba muonane hakubali.Kweli Usikute Ni Lijames Delicious Hahaha. Maana Mwanaume Kuweka Profile Ya Kike Ni Tatizo.