Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Apate Ban huyu...kwann analeta huku upuuzi wao wa PM?
 
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Kwani wamekwambia wao ATM?

Wewe malaya unajiuza?
 
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Ungesema kabsa ni ngp tuje nayo ili kuondoa usumbufu wote... Kama ni hamsaaaa au thalathaaa tujue ili tukiweka simu zetu rehen tusisumbuane
 
Back
Top Bottom