Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Halafu sijui tabia yako ya kutokunipa like utaacha lini....ukiniona gonga like nijue umepita hata kama ni pumbaWe na daby hamkosekani huko haki tena.
"Kila mtu apende hela zake "Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Inafika wakati sasa sio wanaume wa man-up tu hata wanawake nao wa wooo woo -upAcha tu mzee unakuja kuanikwa mchana kweupeee dah!! Noma kwel.
Sasa wewe ulitaka aje pm akafanyeje? [emoji41][emoji41]Anakwambia pm sms then anakutongoza
Siuzi pm sms ila ananitongoza
Kwani wamekwambia wao ATM?Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Ungesema kabsa ni ngp tuje nayo ili kuondoa usumbufu wote... Kama ni hamsaaaa au thalathaaa tujue ili tukiweka simu zetu rehen tusisumbuaneOh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
...Je mtongozo unalipiwa?Anakwambia pm sms then anakutongoza
Ukitongozwa ndiyo uombe Fedha?Anakwambia pm sms then anakutongoza