Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Kwani unauza nini dada..?unataka hela alafu tukionana utataka nikavue samaki chumvini bado nikuridhishe nyambafuuuuu si bora nikanunue bila pm wala sms heeee heeeee njaa zitawaua nyie.
 
Ukisoma hiyo thread niliyoweka link anaact kama mwanaume, hii yuko kama mwanamke.

So nimeshindwa kuelewa lengo, ningejua kwanza jinsia ingekuwa rahisi labda.
Hata hiyo sintofahamu ya jinsia yake inatosha kabisa kukuonyesha huyu ni mpigaji na hapa yupo mawindoni. Amesawasubiri pm ameona hamtokei kwa hiyo kaamua kawafungulia uzi hili mjiongeze kuwa mwenzenu yuko biasharani.

Alafu mbona comments zinazotoka kwa mwanamke real zinafahamika kabisa.
 
aibu nimeona mm [emoji85]
 
Oh naomba pm sms ukimpm nitoe 10000 atakujibu mie unajua hela yote nimeaacha bank, mara mie dume suruali sasa nifanyeje unapenda kukupetipeti with no money
Hyo avatar ni yako? Hhh we mrembo kwelikweli hapa [emoji125][emoji125]PM kwako
 

Ndo maana nikashtuka.

Huyu ana ajenda ya tofauti.
 
acha ushamba ww dem ko ushaona ss ndo hatuzipendi hela afu tena nkutumie hela bila kuonja k yako ww vp,nikimaliza huduma ndo nakuchia ya pepsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…