Wanaume acheni kupenda pm sms wakati huna hela

Huo ufuska tu.Usipende ela kama mfuko,yani unga kilo 2400 alafu nawewe bado unawaza kumchuna mwenzio bila mpangilio.I wish ningekua kama Kim jong un ni shaba tu
 
Nyie wenyewe wazingua, mie kuna mmoja kanipa namba nikamwambia tukutane private, akasema first time ngumu nikala bati, siku moja akanipim etu nimtoe pesa ya chai hasubui elfu kumi na mie nikamwambia sasa hatujuani nakupaje pesa kama jini je? akanuna na mawasiliano akakata, mie ushauri wangu acheni kuomba pesa kama mtu kakufuata private msg msikilize anasema nini?
 
hao wanaowaomba pesa inakuaje hahhaha watu wana roho ngumu sana
 
Daah! Pole mkuu..

Ila hizi mambo za pm mtu angeziacha huko huko pm tuu..

Tatizo la pm ni kwamba mtu anakuja pm yuko na expectation milion..

Sasa akikuta mambo yako tofauti lazima aje kulalamika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…