Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hahahahahHuyo huyo nazani mai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahHuyo huyo nazani mai
hahaha jiamini bana usipende kujishtukiaHa ha ha, halafu huwa najishtukia nimerudi kucheki status bila hata kujua.
Mambo vale?Atii?
Kama vimeundwa hizo 10,000 za matengenezo au?????Ukiona vyaelea ujue vimeundwa
Hahahaaaibu nimeona mm [emoji85]
hahaha jiamini bana usipende kujishtukia
Hahahaa!kazi kweli kweli mambo ya pm yanabaki pm jaman muombane elf 10 au laki
umepewa haujapewa ni ww na mtu wako wa pm hayatuhusu
ni mazuri sana T kama hauwazi mambo mabayaHahahaa!
Mambo ya pm sio mazuri..
hao wanaowaomba pesa inakuaje hahhaha watu wana roho ngumu sanaNyie wenyewe wazingua, mie kuna mmoja kanipa namba nikamwambia tukutane private, akasema first time ngumu nikala bati, siku moja akanipim etu nimtoe pesa ya chai hasubui elfu kumi na mie nikamwambia sasa hatujuani nakupaje pesa kama jini je? akanuna na mawasiliano akakata, mie ushauri wangu acheni kuomba pesa kama mtu kakufuata private msg msikilize anasema nini?
Daah! Pole mkuu..Nyie wenyewe wazingua, mie kuna mmoja kanipa namba nikamwambia tukutane private, akasema first time ngumu nikala bati, siku moja akanipim etu nimtoe pesa ya chai hasubui elfu kumi na mie nikamwambia sasa hatujuani nakupaje pesa kama jini je? akanuna na mawasiliano akakata, mie ushauri wangu acheni kuomba pesa kama mtu kakufuata private msg msikilize anasema nini?
Bora kufunga pm tuu..ee ? [emoji23][emoji23]ni mazuri sana T kama hauwazi mambo mabaya
lakini kama mda wote unawaza anaekuja pm ni mtongozo tu ndio kama ya huyu mleta mada
Poa T kumbe tukitongozwa tuahukuru eehMambo vale?
Why Shunie. Pole Kama Umekwazika. Mtu Anakaa KutuGeneralize Wanaume Wote Hatuna 10k!!aibu nimeona mm [emoji85]